About

Tumia-R (tamka tumia R) ni blog kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kuwasaidia watumiaji wapya wa mfumo na lugha ya kikompyuta ya uchambuzi wa data unaoitwa R (The R Project for Statistical Computing).

Lengo kuu ni kujenga jumuia (community) ya watumiaji wa R kwa Tanzania kwa kutumia lugha mbili, yaani Kiswahili na Kiingereza. Kwa kuwa kuna misaada mingi ya Kiingereza kwenye tovuti tofauti tofauti, blog hii itajikita zaidi kwa kutoa malekezo kwa lugha ya Kiswahili kadri itakavyowezekana.

R ni nini?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s